Followers

Friday, March 20, 2020

Makonda amchana Mbowe Corona aina Uchama.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaomba viongozi wa vyama vya siasa nchini, kuungana kwa pamoja katika kipindi hiki ambacho Dunia inapambana na ugonjwa hatari unaosababishwa na Virusi vya Corona.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Paul Makonda, na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe.
Makonda ameyabainisha hayo leo Machi 20, 2020, na kumtaka kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, kuachana na nia yake ya kuhamasisha mikutano nchi nzima badala yake aungane na Taifa katika kutokomeza janga la ugonjwa wa Corona.
"Niwatake viongozi wa siasa Corona haina chama , nimeona Kaka yangu Mbowe anasema atafanya mikutano ya hadhara nchi nzima, ni vyema kila kiongozi wa chama cha siasa akatumia ushawishi wake kuwaelekeza wanachama na wafuasi wake umuhimu wa kujilinda na ugonjwa wa Corona" amesema Makonda.

Friday, November 29, 2019

VIOGOZI WOTE WA ILALA LEO WATOWA NAMBAZAO KWA TATIZO LOLOTE WAPO TAYALI KUKU HUDUMIA.

KARIBU ILALA YETU

Mkuu wa wilaya ya Ilala
Sophia Mjema
   0784 488802

TAKUKURU ILALA
     0713771047


RPC Ilala 
KAMISHINA Msaidizi wa POLISI (ASP) Zuberi Phembera
0715009980
0715612581

MBUNGE WA ILALA.     
     0768666999

MBUNGE WA SEGEREA
0758324552


MBUNGE WA UKONGA 0767221344

MEYA WA ILALA
0782200087


OFISA HABARI TABU SHAIBU 0713493797

Mkurugenzi Manispaa Ilala Jumanne Shauri 0717687564

Ofisa Elimu Msingi
MAMA THOMAS
0754654274

Ofisa Elimu Sekondari
0754360694

Mganga Mkuu  Manispaa Ilala
Dkt, Emilly 0783303404

Mganga Mkuu Amana Dkt Malima

Katibu Tawala Wilaya ya Ilala 0652060903

Ofisa Maendeleo Ilala
0754297396

Ofisa Ustawi wa Jamii Manispaa ya Ilala
0716226866

Mwenezi wa CCM wilaya ya Ilala
Said Sidde 0693404989

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ilala Ubaya Chuma 0712214964

Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Ilala
Lucas Lutainurwa
0713299119

Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ilala
Amina Dodi
0716681579
 

Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilala Hamadi Pazi 0714620280

NAIBU MEYA ILALA
0756377117

KARIBU ILALA MPYA
UPEWE HUDUMA
Mratibu Ilala Heri Shaban



Takukuru ilala
0752521001
0713771047

Mkuu wa wilaya ya Ilala
Sophia Mjema
   0784 488802

TAKUKURU ILALA
     0713771047


RPC Ilala 
KAMISHINA Msaidizi wa POLISI (ASP) Zuberi Phembera
0715009980
0715612581

MBUNGE WA ILALA.     
     0768666999

MBUNGE WA SEGEREA
0758324552


MBUNGE WA UKONGA 0767221344

MEYA WA ILALA
0782200087


OFISA HABARI TABU SHAIBU 0713493797

Mkurugenzi Manispaa Ilala Jumanne Shauri 0717687564

Ofisa Elimu Msingi
MAMA THOMAS
0754654274

Ofisa Elimu Sekondari
0754360694

Mganga Mkuu  Manispaa Ilala
Dkt, Emilly 0783303404

Mganga Mkuu Amana Dkt Malima

Katibu Tawala Wilaya ya Ilala 0652060903

Ofisa Maendeleo Ilala
0754297396

Ofisa Ustawi wa Jamii Manispaa ya Ilala
0716226866

Mwenezi wa CCM wilaya ya Ilala
Said Sidde 0693404989

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ilala Ubaya Chuma 0712214964

Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Ilala
Lucas Lutainurwa
0713299119

Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ilala
Amina Dodi
0716681579
 

Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilala Hamadi Pazi 0714620280

NAIBU MEYA ILALA
0756377117

KARIBU ILALA MPYA
UPEWE HUDUMA
Mratibu Ilala Heri Shaban



Takukuru ilala
0752521001
0713771047

Monday, October 21, 2019

Honyo Kwa Vyama Vya Siasa,Hatuwakali kuchukuliwa kwa Atakae Kiuka.

Vyama vya siasa vyaonywa, hatua kali kuchukuliwa

JUMATATU , 21ST OCT , 2019
Serikali wilayani Kilombero mkoani Morogoro imevionya baadhi ya vyama vya siasa, kuacha mara moja kutoa vitisho kwa wanachama na viongozi, ambao wamehama na kujiuzulu kwenye vyama vyao, kufuatia kuwepo kwa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanachama wakidai kuwa wanapokea taarifa za vitisho.
Nembo za vyama mbalimbali vya siasa
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Kilombero James Ihunyo, wakati wa mkutano na watendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani hapo, kwa ajili kujadili changamoto zinazowakabili, ambapo amesema kuwa amepokea taarifa za baadhi ya wanachama ambao wamehama vyama vyao kutishiwa usalama wao.
Kwa upande wake aliyekuwa Diwani wa kata ya Katindiuka kupitia CHADEMA, Furaha Mganya, amesema kuwa amesikitishwa na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakimfuatilia na kutaka kujua kwanini amejiuzulu nafasi yake na kuhamia CCM.
Kwenye mkutano huo Mbunge wa viti maalumu kupitia (CCM) Dkt Gertrude Rwakatare, amegawa baiskeli 300 zenye thamani ya shilingi milioni 45, kwa watendaji wa CCM wilayani Kilombero ili kuwarahisishia watendaji hao utakelezaji wa majukumu yao, huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, Novemba 24 mwaka huu.


Makonda amchana Mbowe Corona aina Uchama.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaomba viongozi wa vyama vya siasa nchini, kuungana kwa pamoja katika kipindi h...