Friday, June 7, 2019

Neymar awasilisha taarifa kwa polisi huku kampuni za matangazo zikianza kuvunja mkataba naye Dakika 28 zilizopita Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii WhatsApp Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako Nyota wa Brazil Neymar alienda katika kituo cha polisi mjini Rio de Janeiro kuwasilisha taarifa kufuatia madai ya ubakaji , kulingana na wakili wake. Nyota huyo amekana kumbaka Najila Trindade katika hoteli moja mjini Paris mnamo tarehe 15 mwezi Mei na kuwashukuru mashabiki wake nje ya kituo kwa usaidizi wao. Bi Trindade aliwasilisha madai hayo Ijumaa iliopita akiambia runinga moja ya Brazil kwamba alikuwa anataka haki kutendeka.


Neymar Jnr

Nyota wa Brazil Neymar alienda katika kituo cha polisi mjini Rio de Janeiro kuwasilisha taarifa kufuatia madai ya ubakaji , kulingana na wakili wake.
Nyota huyo amekana kumbaka Najila Trindade katika hoteli moja mjini Paris mnamo tarehe 15 mwezi Mei na kuwashukuru mashabiki wake nje ya kituo kwa usaidizi wao.
Bi Trindade aliwasilisha madai hayo Ijumaa iliopita akiambia runinga moja ya Brazil kwamba alikuwa anataka haki kutendeka.

No comments:

Post a Comment