Timu ya Manchester City imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini England #EPL kwa mara ya pili mfululizo baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wake wa mwisho uliomalizika hivi punde na kuhitimisha msimu ikiwa kileleni.
Man City wakiwa ugenini wameichapa Brighton & Hove Albion mabao 4-1 na kufikisha pointi 98 juu ya wapinzani wao wa karibu Liverpool ambao nao wameshinda 2-0 dhidi ya Wolves na kumaliza msimu wakiwa nafasi ya pili na pointi 97.
Neno moja la pongezi kwao, huku ukitoa maoni yako unadhani nini kinawaangusha Liverpool kwenye #EPL?
Followers
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Makonda amchana Mbowe Corona aina Uchama.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaomba viongozi wa vyama vya siasa nchini, kuungana kwa pamoja katika kipindi h...

-
Wakina mama wanasema gari lililobeba mwili wa mpendwa wetu Dr. Reginald Mengi likipita katika khanga na vitenge vyao, itakuwa ni baraka kwa...
-
Walinzi wa rais Uhuru Kenyatta wamempiga risasi na kumjeruhi mtu aliyejaribu kukwea uzio wa ikulu ya rais jijini Nairobi Kenya. Kibet Be...
-
Matokeo ya darasa la saba 2019 haya hapa TUESDAY OCTOBER 15 2019 Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Ch...
No comments:
Post a Comment